Z Anto kufanya kazi na management mbili kwa pamoja



Z Anto amesema huenda akafanya kazi na management mbili katika huu ujio wake mpya.



Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi yupo kwenye mazungumzo na management hizo ambazo zinataka kufanya naye kazi pamoja.

“Mimi kazi zangu zitaanda kutoka December, video na audio,” asema. “Pia nipo kwenye mazungumzo na management mpya sio ya Babu Tale, lakini kwa sababu tupo kwenye mazungumzo na zote zinaonesha nia ya kufanya kazi na mimi, sioni tatizo la kuwa na management mbili kwa wakati mmoja. Kikubwa ni makubaliano na kugawana majukumu,” ameongeza.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment