Jaffarai amesema amegundua siri itakayomwezesha kurudi kwa nguvu kwenye muziki.
Akiongea na mtangazaji wa D’ Swagga wa Hits Fm ya Zanzibar, rapper huyo ambaye pia ni mjasiriamali, “Kwa sasa ni kuisoma tu game, wasanii wengi wakongwe wanafeli kwa sababu hawafanyi muziki wa sasa wakati mashabiki wamebadilika, mashabiki wanataka muziki wa kucheza.”
“Mipango ni mingi na biashara zangu zinanikwamisha kutoa wimbo mpya,” ameongeza.
Amedai hivi karibuni ataachia wimbo mpya.
0 comments:
Post a Comment