Mama yangu ndiye aliyegundua kipaji changu – Msami



Wimbo wa ‘Mabawa’ ni moja kati ya nyimbo zinazofanya vizuri kwenye media mbalimbali, kubwa zaidi ikivutiwa na staili ya uchezaji ya wimbo huo.



Hit maker wa ‘Sound Track’, ‘Mabawa’ ni miongoni wa wasanii wachache hapa bongo wenye uwezo wa kuimba na kucheza kwa pamoja. Msami ni msanii ambaye anafanya vizuri lakini huwa hana mambo makuu.

Akiongea kwenye Stori Tatu ya Planet Bongo, inayoruka kupitia EA Radio, Msami amesema, ‘mama yangu ndiye mtu aliyegundua kipaji changu’.

“Wakati nipo mdogo nilikuwa napenda sana kucheza muziki, hata nilipokuwa nakataa kula walikuwa wanatafuta kanda ya muziki wananiwekea ndiyo hapo nitaweza kula,” ameongezea Msami.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment