Nicki Minaj: Nimemkataza Meek Mill kuniita ‘mchumba’



Mwezi December mwaka jana, Nicki Minaj alionesha pete ya almasi iliyowafanya wengi waamini kuwa amechumbiwa na Meek Mill.



Na sasa rapper huyo amekiri kuwa hata mpenzi wake huyo amekuwa akichanganya hatua ya uhusiano waliyofika. Nicki amekava issue ya April ya jarida la Nylon na kukiri kuwa Meek bado hajamchumbia.



Hivi karibuni Nicki alidai kuwa Meek anataka ampe pete tatu kabla hawajafunga ndoa na kwakuwa hadi sasa amempa mbili tu, rapper huyo anaona ni sawa kumuita Nicki mchumba hata kama bado haijawa rasmi.



‘I’m not engaged yet.… He said that my third ring would be my engagement ring. ‘But sometimes he calls me his fiancée, and I’m always trying to stop him, like, “Nope! I ain’t got that third ring yet,’ alisema Nicki.



Tazama picha zaidi za rapper huyo kwenye jarida la Nylon.












Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment