Unataka kutoboa? Fanya collabo na Diamond Platnumz, shahidi ni Kiernan Jarryd Forbes wamjua zaidi kama AKA.

Rapper huyo jeuri amedai kuwa collabo yake na Diamond ‘Make Me Sing’ imemfungulia milango mingi na imemfikisha ambako hakuwahi kufika.
Kupitia Twitter rapper huyo aliandika:

Video ya wimbo huo iliyotoka February 12, hadi sasa ina views zaidi ya milioni 2.5.
0 comments:
Post a Comment