Chelsea imemtangaza rasmi Antonio Conte kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu


Klabu ya Chelsea imemtangaza rasmi Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Antonio Conte kuwa kocha wake kwa mkataba wa miaka mitatu kuanzia msimu ujao. Ataanza kuliongoza benchi la ufundi la The Blues mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Euro huko nchini Ufaransa.
Leo April 4, klabu ya Chelsea imethibitisha kukubaliana Conte kuwa kocha wao akichukua mikoba ya aluyekuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho.

Conte-deal-done


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment