Drake atoa list ya tracks ambazo zipo kwenye album yake mpya



Kupitia akaunti ya twitter ya rapper Drake amewapa mashabiki wake list nzima ya track zitakazopatikana kwenye album yake mpya ya “Views”.



Drake ameorodhesha nyimbo ishirini bila kuwepo kwa collabo yetote, hii haimanishi kwamba hakuna sauti za wanamuziki wengine kwenye album hiyo coz tayari alishaachia two singles kutoka kwenye album hiyo,”Pop Style” aliwashirikisha Kanye West & Jay Z na “One Dance”aliyowashirikisha Kyla na Star Boy Wizkid,huku hit yake ya “Hotline Bling” ikijumuishwa kama bonus track.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment