Harmonize akana kumtukana DJ K Flip, Afunguka kilichotokea hadi kuzima mziki katikati ya show







Msanii wa lebel ya WCB 'Harmonize' amefunguka kuhusu tuhuma za kumtukana Dj K Flip kwenye show mjini Mwanza.

Harmonize alisema “Kwanza nategemea sana maDJ kwenye kazi yangu na siwezi fanya kitendo kama hicho, nilikuwa nafanya show na nikawaambia watu kuhusu ujio wa Diamond Mwanza hivi karibuni na kuwataka waimbe na mimi akapela, nikamwambia DJ azime mziki sababu utazingua, DJ hakunielewa akakasirika na kushuka chini, ila nilimfuata na kuongea naye na show ikaendelea”.

Aidha Harmonize amemalizia kwa kusema kuwa kwa sasa matatizo yake DJ K Flip wameyamaliza na wapo poa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment