Jux azileta ‘sneakers’ za African Boy



Jux anaendelea kuimarisha clothing line yake ya African Boy.



Muimbaji huyo kwa sasa ameongeza sneakers za brand yake hiyo.



Amevionesha viatu hivyo kwenye Instagram. Bado hajasema kama vimeanza kuuzwa tayari lakini mashabiki wengi wamedata navyo. Tayari t-shirts na kofia za African Boy zipo sokoni.

Katika hatua nyingine muimbaji huyo anatarajia kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Wivu.’


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment