Mkuu wa mawasiliano na habari wa klabu ya Simba SC Haji Manara amepata ajali mbaya



Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba SC, Haji Manara amepata ajali mbaya, Manara amepata ajali baada ya kuchomoka tokea ndani ya Bajaj na kuanguka barabarani.



Manara akiongea na Clouds FM kupitia kipindi cha Hili Game ndani ya Power Break Fast Manara amesema alikuwa kwenye usafiri wa bajaj akiwahi mahali ndipo akachomoka na kutupwa chini wakati bajaj ikipanda tuta la barabarani.

“Niliacha gali nikatumiausafiri wa bajaj kuna mahali nilkuwa nawahi, kwa bahati mbaya wakati ile bajaj inapanda tuta mimi nikachomoka nikaanguka chini na kujipiga kichwani. Nimeumia usoni na kupata maumivu lakini kwa sasa niko nyumbani naendelea vizuri na matibabu”, anasema Manara

Credit bongo5


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment