Ndege imeanguka huko Norway ikiwa na abiria 14 na kuna ripoti ya watu kuonekana baharini






Ndege moja imeanguka karibu na mji wa Norway wa Bergen huku ikiwa na abiria 14 na kuna ripoti ya watu kuonekana katika bahari. Maafisa wa uokoaji wameviambia vyombo vya habari kwamba ndege hiyo imeharibika vibaya.

Picha kutoka katika eneo la mkasa huo zinaonyesha moshi mkubwa ukifuka katika eneo lenye mwamba mkubwa. Gazeti la Norway Aftonbladet limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta ilikuwa ikielekea katika eneo la mafuta la Brage kutoka Bergen.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment