Nina nyumba Afrika Kusini – Diamond



Diamond Platnumz amesema ana nyumba Afrika Kusini.



Akiongea kwenye Stori Tatu ya Planet Bongo, inayoruka kupitia EA Radio, Diamond alisema alinunua nyumba South kwasababu haoni umuhimu wa kununua nyumba Marekani kama wasanii wengi wakubwa wa Afrika wanavyopenda kufanya.

“Nina nyumba South Africa, kwa sababu nina familia South Africa. Kwahiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani. Ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani? Kwanza sipapendi, uongozi unajua kabisa,” alisema.

Hata hivyo staa huyo alisema kununua nyumba Marekani hakuhitaji fedha nyingi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment