Picha: Mashabiki wadata na picha za Yemi Alade kwenye jarida la OnoBello






Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade ameonekana kwenye toleo jipya la jarida la OnoBello akiwa amevalia nguo za kuogelea.



Picha hizo zimesambaa sana mtandaoni na zimeonekana kuwavutia mashabiki wengi wa staa huyo ambaye kwa sasa anatangaza album mpya, Mama Africa.

Osha macho na wewe.








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment