Video: Shamsa kuelimisha wasichana wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile



Wapenzi wa filamu nchini wanaisubiria kwa hamu filamu mpya ya Shamsa Ford, ‘Najuta Shamsa’ ambayo inazungumzia maisha ya mapenzi pamoja na wasichana wanaopenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile.


Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Shamsa alisema filamu hiyo itakuwa fundisho wa wasichana wengi wa Afrika.

“Tumejaribu kuelimisha wanawake wa Afrika ambao wamekuwa wakifanya mapenzi kinyume na maumbile wakijua ni kumteka mwanaume bila kujua madhara yake huko baadae,” alisema Shamsa.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment