Exclusive : Lil paul & Yozz Piano - 'UNASEMAJE 'live at the Grand Jembeka Festival,usikose show hii
Mzigo mpya kutoka kwa Lil paul anaewakilisha mseto massive Geita akiwa na Yozz Piano tayari uko kwa hewa so unaweza kucheki tu kupitia Mkito.com search Lil Paul ft Yozz piano 'Unasemaje' umetayarishwa na producer Q the Don.
Lil Paul na Yozz Piano ni moja kati ya wasanii watakao kuwepo katika show ya Ne-yo &Dimond Platnumz live at the Grand Jembeka Festival,usikose show hii ya kihistoria mwanza 21/05/2016 kwa Tsh 10,000”

0 comments:
Post a Comment