Kayumba aahidi kuja na collabo hii


Msanii ambaye ni zao La Bongo Star Search 2015 Kayumba Juma amesema soon atakuja na collabo yake.



Hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya, Kipepeo ambao anasema aliuandika hata kabla hajaingia BSS.

“Huo wimbo niliandika mUda hata kabla sijaingia BSS. Video ya wimbo huo nadhani muda wowote itatoka,” amesema.

“Kuhusu kufanya collabo zipo zinakuja mashibiki wategemee tu suprise zingine zinakuja pia kuna wimbo pia nitafanya na Diamond ila ni mapema kuongelea hilo suala sasa hivi. Mashabiki wasubiri tu kazi zipo zinakuja,” aliongeza.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment