Kundi la Mafikizolo latua nchini kutumbuiza kwenye uzinduzi wa mtandao wa 4G Vodacom Tanzania




Mwanamuziki wa kundi la Mafikizolo,NhlanhalaNciza (kulia) akitete jambo na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu mara baada ya kuwasilia kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni kwa ajili ya kutumbuiza katika Hafla ya Uzinduzi wa huduma ya Mtandao wa kasi wa 4G wa Vodacom Tanzania kesho jioni katika ukumbi wa Mlimani City ,Pamoja na Tamasha la Vodacom Kichuo Zaidi litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha UDOM Mkoa wa Dodoma Mei 12 mwaka huu. Kushoto ni Theo Kgosinkwe wakundi hilo na Meneja wa mwanamuziki Nasibu Abdul”.Diamond Platnumz “ Sallam Sharaff








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment