Nyota ya Wizkid yazidi kung’aa Ulaya



Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.



Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid amepata dili la kufanya show London kwenye tamasha Wireless Festival 2016 litakalofanyika mwezi Julai mwaka huu. Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka jijini London, mwaka huu litawakutanisha mastaa wengine kama Future, Big Sean, Fergie, Calvin Harris, Chase & Status na J.Cole.

Nyota ya Wizkid inaonekana kuzidi kung’aa baada ya siku chache kuonekana kwenye list ya Billboard Hot 100 Top 10 kupitia wimbo alioshirikishwa na Drake ‘One Dance’ kushika namba moja kwenye chati hizo.

Mwaka jana tamasha hilo la Wireless Festival liliwajumuisha mastaa kama, DJ David Guetta, Kendrick Lemar, Gorgon City, Drake na Nicki Minaj.Nyota ya Wizkid yazidi kung’aa Ulaya




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment