Picha: Adele afunika tuzo za Billboard



Usiku wa Jumapili kulifanyika tamasha la Billboard Music Awards 2016 kwenye ukumbi wa T-Mobile Arena, Las Vegas na kuhuduriwa na mastaa kibao duniani.



Mastaa waliohudhuriw=a ni pamoja na Rihanna, Britney Spears, Wiz Khalifa, Lady Gaga, Celine Dion, Priyanka Chopra na wengine wengi.

Pia kwenye tuzo hizo msanii kutoka Uingereza, Adele alifanikiwa kuchukuwa tuzo ya Top Artist akiwazidi Drake, Justin Bieber, Taylor Swift na The Weeknd, lakini pia ameweza kuchukuwa tuzo tano huku msanii The Weeknd akiongoza kwenye tuzo hizo kwa kuchukuwa tuzo nane. Wasanii wengine waliofanikiwa kuchukuwa tuzo hizo ni pamoja na Wiz Khalifa, Mick Mell, T-Mobile Arena, Taylor Swift, Justin Bieber, One Direction, Thomas Rhett, Rihanna na wengine.

Aidha kwenye tamasha hilo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza video mpya ya Adele ‘Send My Love (To Your New Lover)’ ambayo ipo kwenye albamu yake ya tatu ‘25’ aliyoiachia Novemba mwaka jana.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment