Vituko vya Justin Bieber vyazidi kuwashangaza mashabiki


Vituko vya Justin Bieber vinazidi kuzua maswali mengi kwa mashabiki wake.



Hivi karibuni Justin Bieber alikabiliwa na kesi ya kulipa dola laki moja baada ya kuvunja simu ya watu japo mpaka sasa bado hajazungumza chochote.

Lakini Jumatano hii pia Bieber alionekana akikatisha mitaa ya Boston’s Public Garden akiwa bila viatu. Kitendo hicho kimezidi kuzua maswali mengi kwa mashabiki wake. Ni wiki hii pia staa huyo raia wa Canada alionekana akilia jukwaani wakati akitumbuiza.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment