Chidi Benz amezitaja sababu hizi zakushindwa kuachilia wimbo wake mpya leo


Follow





Good Morning all, ningependa kuchukua nafasi hii kuwataka radhi mashabiki zangu kwani siku ya Leo nilipaswa Ku-release my New song. ila kutokana na Management na watu wakaribu kunishauri kwamba Now days wimbo mzuri unanendana na Video nzuri. So msikate tamaa Bomb litalipuka anytime #KINGKONGISBACK #newchidibeenz

Miongoni mwa sauti ambazo zinasubiriwa kwa hamu kusikika kwenye masikio ya watu zikiwa na ngoma mpya ni sauti ya Chidi Benz. Rapa huyu alitarajia kuachilia ngoma yake mpya siku ya leo lakini kutokana na sababu za kutokuwa na video ameshindwa kuachilia ngoma hiyo.

Kupitia account yake ya Instagram, Chidi Benzi amepost picha nakuandika “Good Morning all, ningependa kuchukua nafasi hii kuwataka radhi mashabiki zangu kwani siku ya Leo nilipaswa Ku-release my New song. ila kutokana na Management na watu wakaribu kunishauri kwamba Now days wimbo mzuri unanendana na Video nzuri.
So msikate tamaa Bomb litalipuka anytime
#KINGKONGISBACK #newchidibeenz”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment