Rapper Lil Wayne amejikuta anahusishwa na ugomvi uliotokea kwenye party ya BET iliyoandaliwa na rapper 2 Chainz kwenye club ya Hyde.
Mtandao wa udaku wa TMZ umelipoti kuwa kuna baunsa anasema alipigwa ngumi na Lil Wayne wakati watu wake walipozuiliwa kuingia ndani.
Timu ya Wayne imekanusha taarifa hizo na imesema baunsa huyo alimshika vibaya Lil Wayne kwenye mkono wake na ndipo walipotofautiana.
0 comments:
Post a Comment