Nusu Fainali ya michuano ya Copa America imechezwa alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago,Chile imeifunga Colombia kwa bao 2-0 kwenye mchezo huo na itakutana na Argentina kwenye mchezo wa fainali June 27/2016 kwenye uwanja wa MetLife mchezo wa fainali unaozikutanisha tena timu hizo baada ya mwaka mmoja.
Ni Chile na Argentina tena fainali Copa America 2016
Nusu Fainali ya michuano ya Copa America imechezwa alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago,Chile imeifunga Colombia kwa bao 2-0 kwenye mchezo huo na itakutana na Argentina kwenye mchezo wa fainali June 27/2016 kwenye uwanja wa MetLife mchezo wa fainali unaozikutanisha tena timu hizo baada ya mwaka mmoja.
0 comments:
Post a Comment