Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Rapper Nick Cannon ameendelea kugoma kusaini talaka kwa Mariah Carey.
Wawili hao walidumu kwenye mahusiano kwa miaka saba waliachana tangu Agosti 2014 kwa kile kilichoelezwa kuwa Nick Cannon alichepuka nje ya ndoa yao.
Lakini mpaka leo Nick Cannon ameonekana kuwa mzito wa kutoa talaka kwa Mariah Carey kwa madai kuwa bado anampenda mpenzi wake huyo wa zamani na hataki aolewe na mpenzi wake wa sasa James Packer.
0 comments:
Post a Comment