Wakati wa utoaji wa tuzo za muziki za BET mwaka huu palikuwa na matukio mengi yaliojiri nyuma ya pazia, moja yamatukio ni muendelezo wa tetesi ambazo zimesambaa mitandaoni kuwa Birdman,rapper na mmiliki wa music label ya Cash Money Records kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na staa wa miondoko ya Pop na R&B,Toni Braxton.
Kuna mashuhuda mbali mbali wameuambia mtandao wa TMZ,kuwa wakati zoezi la utoaji tuzo za BET likiendelea,wawili hao walionekana pamoja backstage wakishikana mikono huku wakionekana ni watu wenye hisia za kimapenzi.
Birdman na Toni Braxton wakiwa katika tuzo BET,Award 2016
Birdman na Toni Braxton walivyo kuwa jijini Atlanta mnamo June 2,2016
0 comments:
Post a Comment