Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ameshinda tuzo ya video bora ya muziki kwenye tuzo za ZIFF 2016 zilizotolewa Jumamosi hii visiwani Zanzibar.
Fid ameshinda tuzo hiyo kupitia video ya wimbo wake Walk It Off.
Kwa upande wa Gabo ambaye jina lake halisi ni Salim Ahmed, ameshinda tuzo ya muigizaji bora wa kiume kupitia filamu ya Safari ya Gwalu.
Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo:
European African film festival award:
ZAWADI- Richard Card and David Kinyanjui- Kenya
WATATU by Nick Reding (Kenya)
DALADALA- By Salum Stika- Tanzania
Sembene Ousmane Award- (Winners of $2000 each);
A PLACE FOR MYSELF- Clementine Dusabejambo- Rwanda
MACARRAO- Iyabo Kwayana- Brazil
UGALI- THE FAMILY DINNER- Tony Koros- Kenya
BONGO MOVIES
Azam Bongo Movie Awards:
Best Actress – Godliver Gordian (Aisha)
Best Cinematographer – Freddy Feruzi (Kariakoo)
Best Editor – Momose Cheyo (Aisha)
Best Feature Film – Aisha – Producer: Amil Shivji
ComNet Bongo Movie Awards:
Best Actor – Salim Ahmed (Safari ya Gwalu)
Best Writer – Abubakar H. Guni and Devotha Mayunga (Queen of Masai)
Best Director – Chande Omar (Aisha)
Best Film in Sound – Bongo na Flava (Joseph Myinga)
ZIFF AWARDS
GOLDEN DHOW- (best Feature) WATATU by Nick Reding (Kenya
SILVER DHOW- Best Documentary- THE VALLEY OF SALT-
Salaud Morisset- Switzerland/Egypt
SILVER DHOW – Best Film From Dhow Countries- LEECHES- Payal Sethi- India
GOLDEN DHOW- (Short Film)- A PLACE FOR MYSELF by
Clementine Dusabejambo (Rwanda)
GOLDEN DHOW- ( Special Jury Prize) ME A BELGIAN, MY MOTHER A GHANAIAN by Adams Mensah (Belgium)
CHAIRMAN’S AWARD- KALUSHI- Mandlakayise Dube- South Africa
BEST MUSIC VIDEO – Walk It Off
0 comments:
Post a Comment