Mourinho atoa maneno matatu ya Ibrahimovic By Salum Kaorata on July 14, 2016 - 3:00 pm


Kocha wa Manchester Jose Mourinho amemuelezea kwa maneno matatu straika wake mpya Zlatan Ibrahimovic.



Akiongea na waandishi wa habari wiki hii, Mourinho amesema kuwa ‘Ibrahimovic ni mtu ni mcheshi sana kama humfahamu vizuri. Ukisikiliza na kusoma nukuu zake basi unaweza kudhani ni mtu mwenye majivuno makubwa sana.’

“He’s a winner, he’s a goalscorer and he’s funny – he’s a funny guy,” amesema Mourinho.

Ameongeza kwa kusema, “But he’s just a funny guy. So, I would just say that. Funny, winner and goalscorer. I was so happy to get him, and obviously, he’s happy to work for me now.”

Mourinho alifanikiwa kumfundisha Ibrahimovic kwa mara ya kwanza walipokutana kwenye timu ya Inter Milan mwaka 2008 na sasa wamepata bahati ya kukutana tena kwenye timu ya Manchester United.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment