Utaupenda ujumbe wa Diamond na Mwana FA kwa AY katika birthday yake


Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Ambwene Yessahah aka AY. Mastaa kibao wanampongeza legend na pioneer huyo wa mambo kibao.



Lakini utaupenda zaidi ujumbe wa swahiba wake Mwana FA pamoja na Diamond:

Mwana FA

Kuna siku mwaka aidha 2003 ama 2004,hatuna hata nauli ya daladala ya kwendea mjini,huyu jamaa akaniambia “easy mwanangu,utafika wakati tutakuwa tunaazimana magari”…kama kauli ndogo tu hivi enh?well,SIJAWAHI KUISAHAU na huwa namkumbusha KILA WAKATI tunapopata ugumu kwenye mambo yetu..jifunze kitu.. Happy eathstrong mi brethren..Mungu akulinde uendelee ku’spread positive vibes ONLY mi General..u kno what i mean.. @aytanzania
MY VERY RICH FRIEND.

Diamond

I started watching you on TV, listening you on Radio, Reading you on Newspaper and Magazines when i was a little kid and today am here with you Celebrating 6.6+ Million Views of our Song on Youtube… you are a real and True Definition of a Living Legend!!!… I Respect you so Much, and thank you for the chance you gave me to work with you on your #ZigoRemix Track!🙏…Happy Birthday my Big Bro




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment