Mchezaji wa klabu ya Manchester City, Sergio Aguero ambaye zamani alikuwa akikipiga katika klabu ya Atletico Madrid kumbe Madrid bado inapata hela kila mchezaji huyo anapo pachika bao akiwa ametinga uzi wa Manchester City.
Klabu ya soka ya Manchester City ilipomfanyia usajili wa Aguero kulikuwa na moja ya kipengele kwenye usajili huo kikielekeza kwamba pale atakapoifungia timu hiyo magoli 15 bado Atletico Madrid inatakiwa kulipwa kiasi cha paundi 210,000.
Aguero hadi saivi amesha ifungia timu hiyo magolo 152 tangu ajiunge mwaka 2011, ina maana kwamba Atletico Madrid imejipatia kiasi cha paundi milioni 38!
0 comments:
Post a Comment