Mwisho wa Nicki Minaj na Meek Mill wanukia


Huenda zile tetesi za Nicki Minaj na Meek Mill kumwagana zikawa zina ukweli ndani yake.




Hilo limetokana na Jumapili hii Meek kupost kwenye mtandao wa Instagram picha inayomuonyesha mwanamke akionyesha makalio huku sura yake akiwa ameificha na kuandika, “Sitting back like……$avage…just friends.”

Wakati huo huo wiki iliyopita Nicki aliandika kupitia mtandao hu kwa kunukuu mashairi ya wimbo wa Beyonce, Best Thing I Never Had, Thank God u blew it. Thank God I dodged the bullet. I’m so over u. Baby good lookin out. #BestThingUNeverHad.

Hata hivyo imedaiwa kuwa wawili hao kila mmoja amemunfollow mwenzake kwenye mtandao huo. Meek na Minaj wamekuwa pamoja kwenye mahusiano tangu Februari 2015.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment