Ommy Dimpoz aukaribisha mwaka kwa style mpya ya nywele



Ommy Dimpoz ameamua kuja na style mpya ya nywele zake.


Hitmaker huyo wa Kajiandae amepost picha kwenye mtandao wake wa Instagram inayoonyesha akiwa na staili mpya kwenye nywele zake ambayo mashabiki hawajazoea kumuona nayo akiwa ameziweka rangi (breach).

Kwa mujimu wa maneno aliyoandika Dimpoz kwenye mtandao huo inaonyesha kuwa KANYE West ndio amemshawishi kufanya hivyo.

“Kanye Alivyobadili Nywele tu akaonana na Trump na mimi natest zari kama ntaonana na Magu 😂,” ameandika Ommy kwenye mtandao huo.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment