Wakacha waingia location kutengeneza video mpya ya kundi cheki picha zao



Baada ya kuibuka maswali mengi juu ya kundi la Wakacha na ukimya wao wa muda mrefu bila ya kuachia wimbo wa pamoja huku kila msanii wa kundi hilo akifanya kazi zake binafsi, sasa imeonekana muda si mrefu watazikata kiu za mashabiki wao.



Wasanii wanaounda kundi hilo akiwemo Cyril Kamikaze na Jux wameonekana kwenye picha za pamoja ambazo zinawaonyesha wakiwa location wakitengeneza video ya wimbo wao mpya. Katika kuthibitisha kuwa hiyo ni kazi mpya kutoka kwa kundi hilo, kupitia mtandao wa Twitter Jux ameandika, “WAKACHA we back on it!! 🎥🎥📹📹 @kamikazewakacha.”

Tazama picha zaidi hapa chini.








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment