Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake waachia nyimbo zao za pamoja.



Hatimaye baada ya kimya cha miaka kadhaa Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake wameachia nyimbo zao za pamoja.

Nyimbo hizo ni ‘No Frauds’ ambao wameshirikiana pamoja na ‘Changed It’ ambao ameimba Nicki Na Wayne. Sikiliza nyimbo hizo hapa chini.

No Frauds – Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake

Chanded It – Nicki Minaj na Lil Wayne

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment