Rashford, Martial na Rooney kuikosa Chelsea leo



Klabu ya Manchester United leo itakuwa katika uwanja wa Stamford Bridge jijini London, inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fainali ya FA Cup.



Man United tayali wameshatua London kwa usafiri wa treni tayari kwa mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa.

Katika mechi hiyo, Man United itawakosa Zlatan Ibrahimovic mwenye adhabu ya kufungiwa mechi tatu, Marcus Rashford na Anthony Martial apmoaja na nahodha wao Wayne Rooney ambaye aliaumia mazoezini.














Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment