Askari wa kikosi cha bendera kutoka JWTZ wakiwa kwenye mazoezi.
Askari wa JWTZ wakionesha mfano wa kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu. ![3 Ni kosi viwili vya ulizi ambavyo ni jwtz na kikosi cha kutuliza Ghasia FFU kukoana polisi Ukonga kama wanavyoonekana](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tpp0Z23LkW_KCq4actu5Ah47PnuP2hDQS4Vc6wMTyF1HdjMMP9WmCp_odpkXChTnCzuLeU_byfAJIrATxhRYnelj9fkjED9BNATTtC3vSplb2Y6Fa21RcgYGe_H_0VBEyVsE_AZTkFTEDEgZ-pnJnbxt6qVw3eObMJHOF6YbOAk2Lm-d2BW0tWBOEYupyopLsHrK61skvCQoRdaCOVwWUmq4mQBlTxgtMYoAD8VydywgaG1ZJIJv6zXhcAYDjE2S0rReOu1vF1hSbMrLm780AZqDlYfjVw_w=s0-d)
Vikosi vya JWTZ na FFU wakionesha ukakamavu. ![4 Hilo ni eneo maalumu la Mnara ambalo shughuli zote za mashujaa wetu zitonyeshwa hapo](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uYF0PkP2y5YT2uiz9cvXueeyszK1n0nIUrg-a9hjncSVlZOTctXhCralPbvnBJNPdDPfChrv14nUfSl0UkK2liAXIZk35rQpjSMlYJNcV616kTQao6NUP0mntvm8MaaXOdVXA8WHgHxqEIlg2GGnBvSksq1qYo5utY9bE2VRhIAzmJfHEuKNZ53UPYEXXPxTTGhmQoJ5ukQooMCYqsmxAJDPTK8U101o1t5MMHrxGvKFXRUe5laA=s0-d)
Eneo maalumu la mnara ambalo shughuli zote za mashujaa wetu zitaonyeshwa siku hiyo. ![5Kamanda wa paredi haonekani pichani akitoa amri kwa askari kushisha silaha](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sM-KaLy7NDEJrsLmbmrP7QIj2qisotIXkkqOaVfHD_DppweVbS4TwfQIoWDLqHMxWj73NtCfjqE6IXxbgmmvUYQYbVPjVPoNHcor-xyrQYeltufeDYWG7Ed5XUra_9opnK_bFpiXDzmoWvjnsf4JAcUKgJXnAXSsEaAbn8j50nXn3n0drN_hsazzOOCnOrk3oiIL3NGlQ8zdvuFyD7R0R3AA39WKCS3vpVp3Q=s0-d)
Kamanda wa paredi (hayupo) akitoa amri kwa askari kushusha silaha. ![6 Kamanda wa oparedi mabaye pia haonekani pichani akiwashitua askari kama wanavyonekana, HEY](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_t-yHDeJ5VUmxBKYuRODoWQP88oQPIOBkzc3ba-RZsDgfgWUdyu5IgrcCSRgHoi1chnEhzPGZWN3usUE8CIfhIuRn64s29Klt2mCav540ttoDWpP447W7ENZUCMNqoD2jN-9r2GVlCjHajbGNkRPAlmz1dZ5RG1CmjXB4jgFwfDk8TNHKsghPozPGezmD46ylOmMqc8D42oPfcHOsJolssDPUrFHoH2MNG3NNX-A41X7w8dV69xEk1P5AIW=s0-d)
Kamanda wa paredi ambaye haonekani pichani akiwashitua askari, HEY! ![7 kikosi cha Bigura kikitoa heshima kama inavyoonekna.](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tMxEpYU3xY22iyvoKFJhn0qbtc9esY4mhjrmK1TaijcFiEz50sr3M7dLo6Hgro6uX4EIi_TJDBAzayXoyJQz1OYSLYWhrwjhB4ssGoUtJo-T17P8RapTPw4slKs9_Dj7oMFJolxOC_LEhZpDNzdWLGKx8HJ6ubbWjnYgOSdC_BYEaCzJfdchcumnpgBMLNahiht8QTtB8=s0-d)
Kikosi cha Bigura kikitoa heshima. ![8 Aska wa JKT Wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza Paredi](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vLRnMFU2IK0Javlp97adxdTCpVpi92wKA0kPiiYkQSYxp2nBOoRTqAb9IrPxiWNBCPCOfV1tGpkyJ3LM8hT7CGj1PIkA9kclJwVvwFV99Pqv8vjZtEyAETgzir7LURXY-o5R-mkZ86UU4jVKrtdCl82elULdqSMGv8QF8ZvnWu_JOSoE_YYYajQbfNL3eU13t5woowU9KGGg8pt2w=s0-d)
Askari wa JKT wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza mazoezi. ![9 ni Askari wa kikosi maalum kutoka Magereza wakitoka nje ya viwanja vya Mnazi mmoja baada ya kumaliza paredi](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uTpSGsig5-WhlJSNFB_yCXmP5MgRiliti6j7mjLze2lHmPFfHrSLD7avN-vfEo4S18fCP6d-xMqLWpiOuzaWWjbGnAiL5EYJ6dY9I2vfZajxDpj5jAhICYBeNSK9pnuol-DJfQDSOiUHD4LIG4Jsyz_lERy0z4LML_52R_M0rrCpvD2ftkxlQW_2SyFTg5SMdUVvai6h7txlPO2uEtFxrxOZ3RZGZgOhfQj4gyVxnyL68uP43YJadn1W3HNYu7S-VevMtJBinj93iyu_Stsw=s0-d)
Askari wa kikosi maalum kutoka Magereza wakitoka nje ya uwanja baada ya kumaliza maandalizi.
KATIKA kuelekea kwenye tukio muhimu la
kuwakumbuka maofisa na wapiganaji wa vita Tanzania ambalo hufanyika kila
mwaka ifikapo Julai 25, maandalizi yamekamilika ambapo leo baadhi ya
vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa katika mazoezi ya mwisho ndani ya
Viwanja vya Mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar.
Maadhimisho hayo ya siku ya mashujaa
yanatarajiwa kupambwa na matukio mbalimbali ambapo mgeni rasmi
anatarajiwa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dokta
Jakaya Mrisho kikwete ambaye itakuwa ni mara yake ya mwisho kuhudhuria
tukio la namna hiyo akiwa madarakani.
Pia sherehe hizo zinatarajiwa
kuhudhuiriwa na wazee mashuhuri waliopigana vita. Wageni wengine ni
mabalozi kutoka nchi mbalimbali.
Pichani juu ni baadhi ya vyombo vya usalama nchini vikifanya maandalizi ya mwisho.
0 comments:
Post a Comment