Mshambuliaji huyo hivi sasa anafanya mazoezi peke yake katika klabu yake ya Liverpool akijiandaa kurudi katika klabu yake ya zamani ya AC Milan.
Kocha wa AC Milan, Sinisa Mihajlovic
Kwasasa yupo mchezaji huyo yupo nchini Italia kuzungumza na kocha wa AC Milan Sinisa Mihajlovic pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya.
0 comments:
Post a Comment