Chris Brown kuita album yake ijayo jina la mtoto wake, ‘ROYALTY’

Chris Brown (26) anajivunia kuwa baba ndio sababu amekuwa hafichi hizia zake juu ya mtoto wake wa mwaka mmoja.
breezy n daughter

Kuonesha kiasi gani anampenda mtoto huyo wa kike, weekend iliyopita Breezy ametangaza jina la album yake itakayofata kuwa itaitwa jina la binti yake “Royalty”.
Kwa maneno mafupi kupitia Twitter Breezy aliandika:
b fmly

Katika hatua nyingine, Jumapili hii alipost picha akiwa na baba na mama yake pamoja na mwanaye Royalty, na kuandika:
“#family VA!!!!!!! A father who taught me to stay focused. A mother who believed in her son. And a daughter that teaches me about life everyday. (DAD???? WHAT ARE THOSE???)”

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment