Hizi ndizo picha za kwanza zinazo muonyesha mtoto wa Diamond akiwa mwenyewe




Kwanzia msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz na mpenzi wakeZari Hassan wapate mtoto imekuwa story kubwa kwa blogs za hapaTanzania na hata nje ya nchi.

Kila mmoja amekuwa anatamani kumuona mtoto huyu sura yake, Lakini hizi ni picha tu zinazo muonyesha mtoto huyu akiwa mwenyewe bila kubebwa.


Mwimbaji Diamond ameonekana kuwa na mapenzi mengi sana juu ya mtoto wake huyu ambapo kila wakati amekuwa akipost picha yake nakuongelea namna anavyo muwaza au kuhitaji kukutana naye.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment