Hizi ni nyimbo 10 bora 'Top 10' za mwanamuziki Usher Raymond



Wanamuita U-S, H-E-RR-A, Y-M, O-N-D msanii ambaye amekaa kwenye game la muziki kwanzia miaka mingi wa huko Marekani na hadi leo anakonga nyoyo za watu wengi ulimwenguni kwa kila ngoma ambayo amekuwa akiitoa ikasikika masikioni mwa watu.
Hizi hapa ni ngoma zake 10 bora ambazo zinaonekana kufanya poa kwa mujibu wa WatchMojo.Com.

10: “Love in This Club” feat. Young Jeezy Here I Stand (2008)
9: “Confessions Part II” Confessions (2004)
8: “U Remind Me” 8701 (2001)
7: “OMG” feat. Will.i.am Raymond v. Raymond (2010)
6: “Nice and Slow” My Way (1997)

5: “DJ Got Us Fallin’ in Love” feat. Pitbull Versus (2010)
4: “U Got It Bad” 8701 (2001)
3: “Burn” Confessions (2004)
2: “You Make Me Wanna…” My Way (1997)
1: “Yeah!” feat. Lil Jon and Ludacris
Confessions (2004)

Vipi, Unakubaliana na listi hiyo ya ngoma kali za mwanamuziki Usher? Ngoma ipi ya Usher kwako wewe ni pendeleo? Kwa Top 10 kila siku usikose kuitembelea blog yako ya Tubonge TZ, Tupia maoni yako hapo chini.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment