Host Miley Cyrus alitupia nguo ambayo akikuangalia usoni basi wewe utaangalia pembeni lakini kama hakuangalii basi utatupia macho yako kwake masaa yote. Nicki Minaj alionekana ka golden goddess kwenye carpet kabla ya kuingia kufungua show.
Kwake Tylor Swift alifika akiwa na 'Bod Blood' co-stars wakijumlishwa Cara Delevingne, Selena Gomez, Serayah, Gigi Hadid, na Mariska Hargitay.
Picha:
0 comments:
Post a Comment