Mabaki ya watu 40 yazikwa Somaliland




Shughuli ya kuzika mabaki ya zaidi ya watu arobaini imefanyika katika eneo lililojitangazia uhuru la Somaliland. Mabaki hayo yalipatikana katika kaburi moja

Mifupa hiyo ilipatikana wakati mitaro ya mabomba ya maji ilipokuwa ikichimbwa katika mji mkuu Hargeisa.

Inaaminika watu hao waliuawa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotokea mwaka elfu moja mia tisa themanini na nane.

Idadi kubwa ya watu hao walikuwa watoto na akina mama.

Waliuawa wakati wa mashambulio ya mabomu yaliyofanyika mjini Hargeisa wakati huo ambapo vita vya wenyewe kwa wenyewe vilikuwa vikiendelea
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment