Mlipuko mkubwa nje ya kituo cha kusambaza gesi katika mji wa Herat nchini Afghanistan, umesababisha vifo vya watoto kumi na mtu mzima mmoja.
Msemaji wa hospitali amesema kwamba watu wengine 18 wamejeruhiwa katika eneo hilo ambalo hutumika kama kambi ya wakimbizi.
Picha katika mitandao ya kijamii inaonyesha miale ya moto juu angani.
Haijabainika iwapo mlipuko huo ulikuwa ajali , au shambulio.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment