Makundi ya klabu bingwa barani Ulaya kwa msimu wa 2015/2016 yametoka. Makundi hayo yamepangwa katika droo iliyofanyika mjini Monaco Ufaransa August 27.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wachezaji kadhaa wa soka akiwemo Andre Iniesta, Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Luis Suarez na wengine wengi.
Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE itachezwa mwezi Mei 2016 Sansiro Italia
Kundi A
PSG
Real Madrid
Shakhtar Donetsk
Malmo
Kundi B
PSV
Man United
CSK Moskva
Wolfsburg
Kundi C
Benfica
Atletico
Galatasaray
Astana
Kundi D
Juventus
Man City
Sevilla
Monchengladbach
Kundi E
FC Barcelona
Leverkusen
Roma
Bate
Kundi F
FC Bayern
Arsenal
Olympiacos
Dinamo Zagreb
Kundi G
Chelsea
Porto
Dynamo Kyiv
M Tel-Aviv
Kundi H
Zenit
Valencia
Lyon
Gent
0 comments:
Post a Comment