Muimbaji huyo amesema kuwa hilo ni swali analoulizwa kila siku lakini anakosa majibu.
“Hata mimi mwenyewe sijui tatizo ni nini,” PNC alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
“Mimi nataka niwaambie kitu kimoja, kama wanavyoniuliza; mimi naimba muziki mzuri lakini sifanikiwi. Tatizo hata mimi silijui, labda kitu kikubwa tu watu wanisupport kwa sababu wananchi wana-support yao pia ya kuweza kuwakumbusha madj kumkumbuka PNC pale wanavyorequest kazi yangu wanazidi kunikumbuka na kucheza ngoma zangu,” alisema PNC.
0 comments:
Post a Comment