Serena William na Drake hivi karibuni wametingisha kwenye mitandao baada ya picha zao kuonekana wanapeana denda kwenye mgahawa zagaa huko Italia. Kama wawili hao hawajaliongelea hilo, Tayari watu wa karibu wa Serena wameshaanza kuliongelea hilo.
Wawili hawa wamekuwa wakikataa juu ya uhusiano wao, Lakini kwa sasa hawawezi kukataa baada ya picha kuwaonyesha kuwa wana uhusiano wa mapenzi, Tetesi za uhusiano wao zilianza mwaka 2011 na hadi sasa ni miaka minne imeibuka tena na uthibitisho wa picha.
Story ya mahusiano ya Serena na Drake haikudumu mwaka 2011 kutokana na Drake kuonekana na wasichana wengine kwa nyakati tofauti tofauti japokuwa walikuwa kwenye uhusiano na sasa Serena anampa Drake nafasi ya pili ya penzi lake. Watu ambao wapo karibu na Drake wanasema kwa sasa inaonekana kuwa Drake yupo serious kwakuwa anamjali Serena kama mwanamke.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment