Msanii Avril ashinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa wanawake









MSANII wa muziki nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’, wiki iliyopita ameshinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa wanawake.

Tuzo hizo ziliandaliwa na kampuni ya Jumia Kenya Glamour ya nchini humo ambayo imemuwezesha kuwashinda wasanii wa kike wote nchini humo.

“Nashukuru kupata tuzo hiyo, ninaamini kuwa watu wananitazama na ndiyo maana nimepewa tuzo hiyo, huu ni wakati wa watu kujifunza kutoka kwangu,” alisema Avril.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment