Nyumba ya Batuli yateketea kwa moto


batuli

Nyumba hiyo ipo maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Batuli nyumba

“Nilikuwa saluni najiandaa ili niende kwenye fainali za TMT ndipo nilipopigiwa simu na majirani majira ya saa tatu usiku kuwa nyumba yangu inaungua na imeteketea yote kwa moto,” Batuli aliiambia Clouds FM.
“Iliniuma sana vitu vilivyonusurika ni magari yangu tu mawili,” alisema kwa uchungu.
Aliongeza kuwa majirani walihisi chanzo cha moto huo kinaweza kuwa ni umeme. Hata hivyo hakuna mtu aliyejerehiwa. Ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na watoto wake na wafanyakazi wake wawili.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment