Picha: Davido aonyesha picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura




Ukiachilia mbali Diamond Platnumz wa Tanzania na rapper AKA wa Afrika Kusini, Davido ni staa mwingine wa Afrika aliyepata mtoto hivi karibuni na anajivunia kuwa BABA.



Davido ambaye ni miezi mitatu imepita toka apate mtoto wa kike, amekuwa akishare na followers wake picha za mwanaye, ikiashiria kuwa ni jinsi gani uwepo wa mtoto huyo duniani unamuongezea furaha iliyoshindwa kukamilishwa na mali/mkwanja anaoumiliki kutokana na kazi yake ya muziki pamoja na utajiri wa wazazi wake.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment