Picha: Hili ndilo gari alilo nunua Floyd Mayweather lenye thamani ya dola Milioni 4.8, Yapo mawili tu Duniani






Tahadhari, Moja ya gari ambalo nila gharama kubwa sana ulimwenguni 'Koenigsegg' lenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 4.8 sawa na Tsh 10,277,040,000 analimiliki bondia Floyd Mayweather.

Gari ni Koenigsegg CCXR Trevita supercar ambayo yapo mawili tu ulimwenguni inayouwezo wa kukimbia maili 250 kwa lisaa ambapo Floyd analiona nilakawaida tu kwake.




























Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment