Picha: Show ya Diamond na Wasafi kwenye uzinduzi wa kampeni ya Urais CCM
Jana ilikuwa ni uzinduzi wa kampenzi za Urais kwa mwaka wa 2015, CCM walifanya uzinduzi wao kwenye viwanja vya Jangwani ambapo waliwaalika baadhi ya wasanii ambao wapo tayari kukiunga chama hicho na kukipigia debe ili kiweze kuingia ikuli katika uchaguzi mkuu.
Diamond Platnumz pamoja na kundi lake la Wasafi hawakuwa nyuma kwenye kuburudisha, Hivi ndivyo ilivyokuwa.
0 comments:
Post a Comment